.

.

Jumanne, 13 Septemba 2016

Hans Poppe Amzawadi Gari Nyota wa Simba

Mohammed Hussein ( Tshabalala )

Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Simba Zacharia Hans Poppe leo Septemba 12 2016 ametimiza ahadi yake aliyoitoa kwa beki wa pembeni wa klabu ya Simba Mohammed Hussein ambaye wengi wamemzoea kwa jina la Tshabalala




Hans Poppe alipomkabidhi kadi ya gari mchezaji huyo
Hans Poppe ambaye amemkabidhi zawadi ya gari aina ya Toyota Raum   beki huyo, ametimiza ahadi aliyoitoa kwa nyota huyo, baada ya kufanya vizuri msimu uliopita kama alivyomuahidi.