.

.

Jumanne, 13 Septemba 2016

WATU WATEMBELEA MAKUMBUSHO YA CARAVAN SERAI BAGAMOYO



THE CARAVAN SERAI BAGAMOYO 

Muongozaji wa makumbusho ya The Caravan Serai akitoa maelezo Kuhusu huo Ukuta unaonekana tangia mwaka 1890



Muongozaji akitoa maelezo kuhusu Picha Zinazoonekana



Betty, Maisala, Faidhatu     (THE CARAVAN SERAI)



Faidhatu, Judy, Betty 



Judith Nasanamu ya Mtumwa


                                                                          Shadrack & Calvin



Faidhatu & Maisala



Watalii wa ndani wakiwa katika mnara Ambao ulikuwa unatumika kuwanyonga watumwa




Makaburi ya Akari wa Kijerumani wachache waliozikwa hapo



Matembezi Yalioendela kuangalia uzuri wa Bagamoyo



Safari Inaendelea


Picha mbali mbali Ambazo zipo katika jumba la makumbusho ya Caravan Sirai 



Picha Za Watumwa Mali mbali kama wanavyoonekana




Baadhi ya vitu vinavyopatikanika ndani ya makumbusho hayo




Bangili ambazo zilizokuwa zinatumika kuwafungia wafungwa ili wasikimbie



Picha za kumbukumbu za kwenye mnara



Judith & Betty




Betty & Haji




                                          
Judith akichukuwa picha ya kumbukumbu katika mnara huo