.

.

Jumapili, 11 Septemba 2016

Matokeo ya Ligi Kuu Tz Bara

 Simba Sc 2-0 Mtibwa Sugar

Magoli ya Simba Yamefungwa Na Ibrahim Ajibu pamoja Na Mavugo.
Simba kipindi cha kwanza walicheza mpira wa kawaida sana baada ya mtibwa Kuwasoma simba. Kipindi cha pili kilianza kwa simba kucheza mpira wa kasi Na wakuonana. Sasa Simba wamefikisha Point 10 Sawa Na Azam fc ambayo nayo inapoint 10.

Kule Mkoani Mbeya Timu ya Tz Prison imefanikiwa kushinda goli moja kwa bila dhidi ya Toto African. Mechi hiyo ilikuwa ni nzuri sana Nampaka mapumziko  Timu hizo zilitoka sare baada ya kutoshana nguvu. Dakika ya 55 Jeremiah Juma akawainua mashabiki baada ya kupachika goli. Mpaka mwisho wa mchezo Timu ya Tz Prison wameibuka Na ushindi Nakufikisha Point 7.
..................................................
Simba Sc 2-0 Mtibwa Sugar

Tz Priston 1-0 Toto African
''''''''''''''''''''''''""""''"""""""""""''''''''''"