.

.

Jumamosi, 24 Desemba 2016

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI MHE YASEMIN ERALP

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Balozi wa Uturuki nchini Mhe. Yassemin Eralp  walipokutana kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam jana Desemba 23, 20176
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na  Balozi wa Uturuki nchini Mhe. Yasemin  Eralp walipokutana kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam jana Desemba 23, 20176.Wengine kutoka kushoto ni Balozi zuhura Bundala, Balozi Joseph Sokoine na Bw. Hassan Mwamweta wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kikanda na Kimataifa.PICHA NA IKULU.