.

.

Jumamosi, 8 Oktoba 2016

PICHA: Madhara ya kimbunga kilichotokea visiwa vya Haiti


Mtu wangu nakusogezea taarifa hii kutoka visiwani Haiti. Wiki hii kuliripotiwa
 kutokea kwa kimbunga kikali kiliambatana na mvua pamoja upepo
 mkali ambao umevikumbuka visiwa hivyo. Kimbunga kilichopewa 
jina laHurricane Matthew kimesababisha madhara 
makubwa kwa kuharibu miundo mbinu,
majumba ya kuishi, watu wamepoteza maisha na wengine makazi
ya kuishi.
Ripoti ya Umoja wa Mataifa, Kimbunga hicho kimeacha madhara kwa watu
 takribani 350,000 na kuirejesha Haiti kwenye kumbukumbu mbaya ya aina 
hiyo iliyowahi kujitokeza miaka sita iliyopita. Mwakilishi wa 
UNICEF nchini Haiti, Marc Vincent amesema kimbunga Matthew
ni kibaya zaidi kuwahi kushuhudiwa nchini humo katika miongo ya
 karibuni na bila shaka madhara yake yatakuwa makubwa.

161006094748-haiti-11-super-169

161006095608-haiti-18-super-169
Kimbunga Mathew ambacho ndicho kubwa zaidi katika visiwa vya Carebean kwa 
zaidi ya
 muongo mmoja uliopita, kimepiga taifa la Bahamas baada ya kupitia Haiti na Cuba.
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF linashirikiana na serikali 
ya Haiti na wadau wengine kusambaza vifaa vya usaidizi kwa waathirika wa kimbunga
 Matthew kilichopiga Haiti hii leo. UNICEF inasema misaada hiyo ni pamoja na vidonge
 vya kutakasisha maji na vya kujisafi, wakati huu ambapo watoto zaidi ya Milioni Nne
 wanatarajiwa kuwa wameathiriwa na zahma hiyo.
161006095757-haiti-19-super-169

161006121104-02-hurricane-matthew-haiti-1006-super-169

161006233511-03-hurricane-matthew-1006-haiti-super-169

161007073322-03-haiti-1007-super-169

161007073328-07-haiti-1007-super-169

161007073332-10-haiti-1007-super-169

161007073335-12-haiti-1007-super-169

161007081655-13-haiti-1007-super-169

1

2

4

5

6

7

8

12493fc2-b45a-43e3-b57a-ac11d817b29e-large16x9_hurricane1_ap

393103e000000578-3826209-image-a-16_1475842550827