.

.

Jumanne, 7 Februari 2017

RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA MKUU WA MAJESHI YA ULINZI YA TANZANIA (CDF) PAMOJA NA VIONGOZI WENGINE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Tanzania, Ikulu jijini Dar es Salaam.

 Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Luteni Jenerali James Mwakibolwa kuwa Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Ikulu jijini Dar es Salaam. 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Luteni Jenerali Paul Meela kuwa Balozi nchini DRC Congo, Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Luteni Jenerali Paul Meela kuwa Balozi nchini DRC Congo, Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mkuu mpya wa Majeshi ya Ulinzi ya Tanzania Jenerali Venance Mabeyo mara baada ya tukio la uapisho lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein akizungumza mara baada ya tukio la Uapisho wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Tanzania pamoja na  Viongozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam. 
 Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza masuala mbalimbali mara baada ya kumuapisha Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi pamoja viongozi wengine wa Jeshi na Mabalozi Ikulu jijini Dar es Salaam.

 Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mkuu wa Jeshi la Polisi  (IGP) Ernest Mangu mara baada ya tukio la Uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam. 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Nyakimura Muhoji kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi, Ikulu jijini Dar es Salaam.

 Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein (watatu kutoka kushoto), Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wanne kutoka (kulia) , Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi (wakwanza kushoto), Mkuu mpya wa Majeshi ya Ulinzi ya Tanzania Jenerali Venance Mabeyo(watatu kutoka kulia ), Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Luteni Jenerali James Mwakibolwa (wapili kutoka kushoto),  Kamishna Jenerali wa Magereza Juma Malewa(wapili kutoka kulia) pamoja na Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamis Juma(wakwanza kulia) Ikulu jijini Dar es Salaam. 
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimvisha cheo Luteni Jenerali Venance Mabeyo kuwa Jenerali kabla ya kumuapisha kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi kwenye Ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimvisha cheo Meja Jenerali James Makibolwa  kuwa Luteni Jenerali kabla ya kumuapisha kuwa Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi kwenye Ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam. PICHA NA IKULU

MAGAZETI YA LEO JUMANNE FEBRUARY 7, 2017

Ijumaa, 27 Januari 2017

MAONYESHO YA WASANII WA TANZANIA YAANZA NAIROBI

Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Bi. Talha Mohamed Waziri (kulia) akimkaribisha Balozi wa Msumbiji kwenye maonesho hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa maonesho wa Village Market Nairobi nchini Kenya.

Ofisa wa Ubalozi wa Venezuela Nairobi, Jose Gregorio Ayila Torres (katikati) akibadilishana mawazo na Kaimu Balozi wa Tanzania (kulia). Kushoto ni mmoja wa wasanii wa Tanzania, Raza Mohamed.

Raia wa Uswisi waliofika kwenye maonesho wakijadiliana jambo wakati wa maonesho hayo yaliyoshirikisha wasanii 14 kutoka Tanzania wa uchoraji yaliyoanza toka juzi katika ukumbi wa maonesho wa Village Market Nairobi.

Wapenda sanaa wa Kenya wakikagua kazi za wasanii wa Tanzania kwenye ukumbi wa maonesho wa Village Market Nairobi.

Wadau wa sanaa wakifurahia maonesho yaliyowakutanisha Wasanii wa sanaa ya uchoraji 14 kutoka Tanzania huku yakihudhuliwa na wadau mbalimbali kutoka nchini Kenya