.

.

Jumatano, 7 Desemba 2016

MSD YAZINDUA HUDUMA MAALUMU KWA WATEJA WAKUBWA JIJINI DAR ES SALAAM

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee naWatoto Dk. Mpoki Ulisubisya (kulia), akizungumza na viongozi mbalimbali wa sekta ya afya wakati akizindua mpango wa huduma maalumu kwa wateja wakubwa Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)  Profesa Mohamed Janabi (kushoto), akizungumza katika hafla hiyo.

Mkurugenzi Mkuu wa MSD,  Laurean Bwanakunu (kulia), akitoa taarifa fupi ya mradi huo mbele ya mgeni rasmi.

Meneja Huduma kwa Wateja wa MSD, Salome Malamia akizungumza katika hafla hiyo.

Mmoja wa maofisa kutoka Ofisi ya Inayosimamia Utekelezaji wa Mapendekezo ya Maboresho (SMO), Naomi Shangali akitoa maelezo kwa mgeni rasmi kuhusu mpango huo