Vilabu vya Chelsea na Manchester City baada ya wachezaji wao kuhusika katika vurugu uwanjani wakati wa mechi ya ligi ya Premia.
Chelsea wamepigwa faini ya £100,000 na Manchester City wakapigwa faini ya £35,000.
Mechi hiyo iliyochezewa katika uwanja wa Etihad ilipokaribia kumalizika baada ya Sergio Aguero wa City kutolewa uwanjani kwa kumchezea visivyo beki wa Chelsea David Luiz.
Fernandinho nae alitolewa uwanjani kwa kumkaba koo Cesc Fabregas katika mechi hiyo Chelsea walishinda 3-1
