.

.

Ijumaa, 11 Novemba 2016

RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA SPIKA MSTAAFU SAMWEL JOHN SITTA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt . John Pombe Magufuli akitoa heshima zake za mwisho kwa aliyekuwa Spika Mstaafu Marehemu Samwel John Sitta alipoongoza mamia ya waombolezaji kuuaga mwili wa kiongozi huyo mkongwe katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam  leo Oktoba 11, 2016

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt . John Pombe Magufuli akimfariji Mama Margareth Sitta, Mjane wa aliyekuwa Spika Mstaafu Marehemu Samwel John Sitta alipoongoza mamia ya waombolezaji kuuaga mwili wa kiongozi huyo mkongwe katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam  leo Oktoba 11, 2016

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt . John Pombe Magufuli akimpa pole binti wa  aliyekuwa Spika Mstaafu Marehemu Samwel John Sitta alipoongoza mamia ya waombolezaji kuuaga mwili wa kiongozi huyo mkongwe katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam  leo Oktoba 11, 2016

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt . John Pombe Magufuli akimpa pole Mhe. John Sitta, mtoto wa  aliyekuwa Spika Mstaafu Marehemu Samwel John Sitta alipoongoza mamia ya waombolezaji kuuaga mwili wa kiongozi huyo mkongwe katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam  leo Oktoba 11, 2016







Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt . John Pombe Magufuli akiwapa pole wanafamilia  wa  aliyekuwa Spika Mstaafu Marehemu Samwel John Sitta alipoongoza mamia ya waombolezaji kuuaga mwili wa kiongozi huyo mkongwe katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam  leo Oktoba 11, 2016

 Rais Mstaafu wa awamu ya nne Mhe jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Spika Mstaafu Marehemu Samwel John Sitta alipoongoza mamia ya waombolezaji kuuaga mwili wa kiongozi huyo mkongwe katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam  leo Oktoba 11, 2016

 Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Mhe Benjamin William Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa wakitoa heshima  za mwisho kwa aliyekuwa Spika Mstaafu Marehemu Samwel John Sitta alipoongoza mamia ya waombolezaji kuuaga mwili wa kiongozi huyo mkongwe katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam  leo Oktoba 11, 2016

 Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimfariji Mjane wa  aliyekuwa Spika Mstaafu Marehemu Samwel John Sitta baada ya kutoa heshima za mwisho kwa  mwili wa kiongozi huyo mkongwe katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam  leo Oktoba 11, 2016

 Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akimfariji Mjane wa  aliyekuwa Spika Mstaafu Marehemu Samwel John Sitta baada ya kutoa heshima za mwisho kwa  mwili wa kiongozi huyo mkongwe katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam  leo Oktoba 11, 2016

 Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimfariji Mtoto wa  aliyekuwa Spika Mstaafu Marehemu Samwel John Sitta baada ya kutoa heshima za mwisho kwa  mwili wa kiongozi huyo mkongwe katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam  leo Oktoba 11, 2016

Makamu wa Rais Mstaafu Dr Gharib Bilal akimfariji Mjane wa  aliyekuwa Spika Mstaafu Marehemu Samwel John Sitta baada ya kutoa heshima za mwisho kwa  mwili wa kiongozi huyo mkongwe katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam  leo Oktoba 11, 2016

Mke wa  Rais Mstaafu Mama Salma Kikwete  akimfariji Mjane wa  aliyekuwa Spika Mstaafu Marehemu Samwel John Sitta baada ya kutoa heshima za mwisho kwa  mwili wa kiongozi huyo mkongwe katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam  leo Oktoba 11, 2016

 Spika Mstaafu wa Bunge Anne Makinda akimfariji Mjane wa  aliyekuwa Spika Mstaafu Marehemu Samwel John Sitta baada ya kutoa heshima za mwisho kwa  mwili wa kiongozi huyo mkongwe katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam  leo Oktoba 11, 2016

 Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye  akimfariji Mjane wa  aliyekuwa Spika Mstaafu Marehemu Samwel John Sitta baada ya kutoa heshima za mwisho kwa  mwili wa kiongozi huyo mkongwe katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam  leo Oktoba 11, 2016

 Mke wa Rais Mstaafu Mama Sitti Mwinyi akimfariji Mjane wa  aliyekuwa Spika Mstaafu Marehemu Samwel John Sitta baada ya kutoa heshima za mwisho kwa  mwili wa kiongozi huyo mkongwe katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam  leo Oktoba 11, 2016

Spika Mstaafu wa Bunge Pius Msekwa  akimfariji Mjane wa  aliyekuwa Spika Mstaafu Marehemu Samwel John Sitta baada ya kutoa heshima za mwisho kwa  mwili wa kiongozi huyo mkongwe katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam  leo Oktoba 11, 2016

Waziri Mkuu Mstaafu Joseh Warioba akimfariji Mjane wa  aliyekuwa Spika Mstaafu Marehemu Samwel John Sitta baada ya kutoa heshima za mwisho kwa  mwili wa kiongozi huyo mkongwe katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam  leo Oktoba 11, 2016

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jeneral Davis Mwamunyange  akimfariji Mjane wa  aliyekuwa Spika Mstaafu Marehemu Samwel John Sitta baada ya kutoa heshima za mwisho kwa  mwili wa kiongozi huyo mkongwe katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam  leo Oktoba 11, 2016

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akimfariji Mjane wa  aliyekuwa Spika Mstaafu Marehemu Samwel John Sitta baada ya kutoa heshima za mwisho kwa  mwili wa kiongozi huyo mkongwe katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam  leo Oktoba 11, 2016

Mkuu wa Jeshi la Magereza Nchini Casmi Minja akimfariji Mjane wa  aliyekuwa Spika Mstaafu Marehemu Samwel John Sitta baada ya kutoa heshima za mwisho kwa  mwili wa kiongozi huyo mkongwe katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam  leo Oktoba 11, 2016