.

.

Jumamosi, 15 Oktoba 2016

NAMNA SIMBA ILIVYOITWANGA KAGERA SUGAR KWA MABAO 2-0 UWANJA WA UHURU LEO

Simba imezidi kujichimbia kileleni baada ya kuichapa Kagera Sugar kwa mabao 2-0 katika mechi ya Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Simba imefikisha pointi 23 kileleni baada ya ushindi huo wa mabao yake yaliyofungwa na Muzamiru Yasini na Shiza Kichuya.