.

.

Jumamosi, 8 Oktoba 2016

DJ Khaled - Do You Mind ft. Nicki Minaj, Chris Brown, August Alsina, Jer...

Dj khaled baada ya kushinda tuzo 3 katika BET Hip hop Awards kwa mwaka 2016, ameachia video yake mpya kwa mashabiki zake humo ndani amewashirikisha wasanii Rick Ross, Chris Brown, Nicki Minaj, August Alsina, Future pamoja na Jeremih, wimbo unaitwa “Do You Mind”.