.

.

Jumatano, 21 Septemba 2016

WAPENDWA MSAADA UNAHITAJIKA WA HALI NA MALI KUMSAIDIA BI JOYCE MWESIUMO

Wapendwa huyo ni mtoto wa Mwalimu Ambae Anaitwa Joyce Mwesiumo Anaomba MSAADA ili aweze  kusaidiwa malezi kwa hali na mali. Mtoto alizaliwa akiwa na hiyo nyama iliyojitokeza kichwani na pia haoni YANI NI KIPOFU. Kama kuna organization zinatoa msaada tafadhali tumeni ili aweze kusaidiwa au yeyote atayeguswa na tatizo la Mtoto huyu, Mama wa mtoto yuko kwenye wakati mgumu. Wanaishi Ifakara. Kwa mawasiliano nae tumia namba za Mama mwenyewe Ambae Anaitwa Joyce Mwesiumo 0783 965707, 0712 390947 au 0755 448160.

Picha Ni Hizi Nimekuwekea Hapo Chini


Joyce Mwesiumo na mtoto wake

Joyce Mwesiumo na Mwanae