.

.

Alhamisi, 15 Septemba 2016

TIGO YATOA MSAADA WA MADAWATI 335 MKOANI SINGIDA.

                          Mkuu wa Mkoa wa  Singida, Mhandisi Mathew Mtigumwe

Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhandisi Mathew Mtigumwe akiwa ameketi
kwenyedawati mara baada ya kukabidhiwa madawati 335 yenye thamani 
ya milioni 56,kulia ni  mkurugenzi  wa  Tigo  kanda  ya  kaskazini,
George Lugata  na mwanafunziwa shule ya  msingi Minga, Ali Saidi.


Mkuu wa Mkoa wa  Singida, Mhandisi Mathew Mtigumwe akinyanyua
mikono juu na mkurugenzi wa  Tigo  kanda  kaskazini, George Lugata
na Meneja wa kandakaskaziniTigo, Aidan Komba.


Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhandisi Mathew Mtigumwe akipokea
msaada wamadawati 335 yenye thamani ya milioni 56, toka kwa
Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini, George Lugata kwenye
makabidhiano yaliyofanyika katika viwanja vya mkuu wa mkoa jana