Wachezaji wa soka wa kimataifa, Mbwana Samatta anayechezea klabu ya Ubelgiji, KRC Genk na Mkenya, Victor Wanyama anayekipiga Tottenham Hotspur wameungana na wananchi wengine kuwapa pole wahanga wa tetemeko la ardhi, lilitokea hivi karibuni huko Kagera na Mwanza
Tetemeko hilo lililokuwa na ukubwa wa 5.7 kipimo cha Ritcher, lilisababisha vifo vya zaidi ya watu 15, na kujeruhi, pia kuwaacha mamia bila sehemu za kuishi.
Mbwana Samatta & Victor Wanyama