RAIS DKT JOHN MAGUFULI AENDESHA MKUTANO WA 17
WA DHARURA WA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
IKULU DAR-ES-SALAAM
AKITOA NENO MBELE YA VIONGOZI WA JUMUIYA HIYO.
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARAKI MH RAIS DR JOHN MAGUFULI
AKIHUTUBIA MKUTANO HUO IKULU JANA.
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARAKI MH RAIS DR JOHN MAGUFULI
AKIHUTUBIA MKUTANO HUO IKULU. KWENYE UKUMBI WA MIKUTANO.
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARAKI MH RAIS DR JOHN MAGUFULI AKIWA NA VIONGOZI WENZAKE KATIKA PICHA PAMOJA IKULU DAR-ES-SALAAM
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARAKI MH RAIS DR JOHN MAGUFULI. WAKISIMAMA KUIMBA WIMBO WA JUMUIYA HIYO KATIKA KIKAO CHA 17 CHA DHARURA KILICHO FANYIKA KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO IKULU DAR-ES-SALAAM




