hajituppa.blog
.
Ijumaa, 16 Septemba 2016
BAADHI YA WASANI NA WAFANYAKAZI WA CLOUDS MEDIA WATEMBELEA BUNGENI.
Asubuhi ya leo baadhi ya wasanii na wafanyakazi wa
Clouds media
walipata nafasi ya kutembelea bunge ili kujionea utendaji kazi unavyofanyika Ndani na nje ya Bunge.
Hizi ni baadhi ya Picha Zao.
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani